HAYA NDIYO MAKANISA MAKUBWA ZAIDI AFRIKA


Dunia ina majengo makubwa na mazuri. Afrika pia haipo nyuma. Hii ni pamoja na makanisa au sehemu za kuabudia wakristo. Na kwa miaka ya karibuni makanisa mengi makubwa yamekuwa yakijengwa kila kukicha na kufanya wengi wetu kuwa na maswali kama LIPI AU YAPI NDIYO MAKANISA MAKUBWA ZAIDI BARANI AFRIKA?


Yafuatayo ni makanisa makubwa zaidi barani Afrika kwa kuangalia vigezo vya ukubwa wa jengo na wingi wa waumini au wahudhuriaji wa ibada.

Angalia video hii:

0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine