WEDDINGS/CEREMONIES

GWAMAKA & NURU's wedding 

Maharusi Gwamaka Mwakalinga & Nuru katika sura zenye tabasamu mara baada ya ndoa yao kufungwa.

Gwamaka & Nuru wakiwa katika picha ya pamoja na maids wao

Bwana na Bibi Harusi wakiingia ukumbini kwa kucheza staili hii...Ndoa ina raha yake jamani


NOEL & RAHAB's wedding

Maharusi Noel Emmanuel na Rahabu Joseph wakiingia ukumbini kwa furaha.

Maharusi Noel na Rahabu wakiwa katika picha pamoja na wazazi wao.

LOVE is on the AIR. Maharusi NOEL na RAHABU wakibusu. Hakika inapendeza

Muda wa kufungua shampeni

Maharusi RAYMON pamoja na PRISCA wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa yao.

0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine