PICHA: MAZISHI YA MAMA GWAJIMA; LOWASA, MEMBE, GODBLESS LEMA, WAHUDHURIA

 Tarehe 25 mwezi huu wa kwanza 2018 ilikuwa ni siku ya mazishi ya aliyekuwa mama mzazi wa Askofu wa kanisa la UFUFUO NA UZIMA, Josephat Gwajima yaliyofanyika maeneo ya salasala hapa jijini Dar es salaam. 

Katika mazishi hayo walihudhuria viongozi wengi, wanasiasa, pamoja na watu mashuhuri wengi tu wakiwemo waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, Bernard Membe, Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, Emmanuel Mgaya(masanja mkandamizaji), na wengine wengi.

Zifuatazo ni baadhi ya picha tu za kwenye mazisi hayo:

Mheshimiwa Bernard Membe akiteta jambo na waziri mkuu
mstaafu Edward Lowasa katika mazishi hayo.

Askofu Gwajima akiteta jambo na Edward Lowasa

Waziri mkuu mstaafu Mheshimiwa Edward Lowasa akitoa
heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu

Mheshimiwa Bernard Membe akisaini kitabu cha wageni
waliohudhuria mazishi hayo

Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) akisaini kitabu
cha wageni waliohudhuria mazishi hay




0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine