MBASHA AMJIA JUU SHABIKI MTANDAONI, WADAU WAKASIRISHWA


Moja kati ya matukio ambayo leo tarehe 8 mwezi Januari yameteka attention ya watu wengi mtandaoni ni kile alichoandika muimbaji maarufu na mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa injili na aliyekuwa mume wa muimbaji Flora Mbasha, Emmanuel MBASHA baada ya kuonekana kukwazika na kile alichokifanya dada huyo ambacho mpaka sasa hajakiweka bayana.

Kupitia ukurasa wake wa instagram mida ya saa 3 asubuhi, Mbasha alipost picha 2 za m'mama aliyejulikana kwa jina la ASHILLY SHIJA na kuongezea caption iliyozua utata ikisema "Kabla hujamponda MTU na Kumtukana jiangalie wewe kwanza acha chuki Dada haya embu jiangalie ata kiuno hakionekani kama roboti vile au sanamu LA michelini..kwani mtumishi hana moyo unamtukana MTU kisa mutumishi hatajibu"



Baada ya kupost post hiyo wadau wake wamekuwa na maoni tofauti huku wengi wakionyesha kutofurahishwa na alichopost mtumishi huyo. Tumekuwekea picha zenye comments za wadau walivyokuwa wanacomment hapa chini. Angalia na usisahau kutupa maoni yako juu ya hili.


0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine