UNABII WA TB JOSHUA: 2018 NI MWAKA WA KUPAMBANA
"Mwaka huu ujao (2018) ni mwaka unapaswa kuwa tayari kupigana vita .. Ni mwaka wa vita - vita ya kuishi .. Fikiria maisha yako .. Ni mwaka watoto wako wanapaswa kukaa miguuni pako na kujifunza kutoka kwako. Shiriki uzoefu wako nao. "
Nabii TB Joshua aliyasema hayo wakati wa mahubiri katika ibada ya kuuaga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018, Kanisa la Synagogue Church Of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria 31/12/2017.
Nabii T.B. Joshua aligusia kwa unabii juu ya kile kinachoenda kutokea ndani ya mwaka 2018.
0 comments: