GEORGE WEAH AMTEMBELEA TB JOSHUA



Aliyekuwa mgombania nafasi ya uraisi ambaye kwa sasa ndio rais wa taifa la Liberia na mkongwe/staa wa mpira wa miguu, George Weah alihudhuria ibada ya Kanisa la Synagogue Curch Of All Nations (SCOAN) Jumapili ya Oktoba 22, 2017, kuutafuta uso wa Mungu kuhusu taifa lake.

Hii ni video ya kukutana kwake na Nabii T.B. Joshua - moja iliyojaa masomo muhimu, hasa kuhusu jinsi mchungaji anavyopaswa kushughulikia masuala ya kisiasa!

Pia aliyehudhuria katika ibada hiyo alikuwa ni Seneta wa Liberia,  Yormie Johnson.

ANGALIA VIDEO

0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine