BREAKING NEWS: NABII TITO AJICHANA NA WEMBE TUMBONI, ASHONWA NYUZI 25 LEO

BREAKING NEWS:

TITO MACHIBYA maarufu kama "nabii tito" leo amejichana na wembe tumboni na ameshonwa nyuzi 25 tumboni.

Inaelezwa kwamba Nabii Tito alienda na Polisi nyumbani kwake kwa ajili ya uchunguzi wa kesi inayomkabili, alipofika nyumbani alikimbilia kiwembe na kujichana tumboni. (Chanzo/Gazeti la #Mtanzania)

Nini mtazamo wako kuhusu Nabii Tito (amekamatwa kutokana na kuhubiri mambo yanayotajwa kuwa kinyume na dini ikiwemo kuhamasisha wanaume waliooa kufanya mapenzi na wasichana wao wa kazi (housegirls) na kunywa pombe )

0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine