PICHA: MAZISHI YA MAMA GWAJIMA; LOWASA, MEMBE, GODBLESS LEMA, WAHUDHURIA
Tarehe 25 mwezi huu wa kwanza 2018 ilikuwa ni siku ya mazishi ya aliyekuwa mama mzazi wa Askofu wa kanisa la UFUFUO NA UZIMA, Josephat Gwajima yaliyofanyika maeneo ya salasala hapa jijini Dar es salaam.
Katika mazishi hayo walihudhuria viongozi wengi, wanasiasa, pamoja na watu mashuhuri wengi tu wakiwemo waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, Bernard Membe, Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, Emmanuel Mgaya(masanja mkandamizaji), na wengine wengi.
Zifuatazo ni baadhi ya picha tu za kwenye mazisi hayo:
Mheshimiwa Bernard Membe akiteta jambo na waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa katika mazishi hayo. |
Askofu Gwajima akiteta jambo na Edward Lowasa |
Waziri mkuu mstaafu Mheshimiwa Edward Lowasa akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu |
Mheshimiwa Bernard Membe akisaini kitabu cha wageni waliohudhuria mazishi hayo |
Emmanuel Mgaya (Masanja Mkandamizaji) akisaini kitabu cha wageni waliohudhuria mazishi hay |
0 comments: