Jeshi la Polisi Dodoma limemkamata mtu mmoja Tito Machibya maarufu kama Nabii Tito mwenye umri wa miaka 44 kwa kosa la kueneza chuki ya kidini dhidi ya watu wengine kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi Gilles Muroto amezungumza na Waandishi wa habari na kuelezea yote kwa undani.
0 comments: