PICHA: EMMANUEL MGAYA (MASANJA) NA MKEWE WAMPELEKA MTOTO WAO KANISANI KWA MARA YA KWANZA

Moja kati ya matukio yanayotrend kwa sasa ni hili la Mtumishi wa Mungu Mchungaji Emmanuel Mgaya na mkewe kuamua kumpeleka mtoto wao kanisani (madhabahuni) kwa mara ya kwanza. Familia hii imekuwa kimya sana juu ya ujio wa mtoto huyo na kuamua kutoongelea swala hili kwa muda sasa. 

Katika post aliyopost Emmanuel Mgaya "mkandamizaji" imeonyesha kuwa mtoto huyo ni wa kike na ana miezi mitatu sasa. Masanja aliandika maneno haya:

"TUNAMSHUKURU MUNGU, Leo tumepata neema ya kumpeleka MDADA wetu Mbele ya Kanisa!! ILIKUWA NJEMA SANAAAAA!!
Asanteni kwa maombi yenu.
MDADA ANA MIEZI MITATU SAIVI🙏🏾.
Cheki Msukuma Wangu aka MAMA AKE MDADA"
Hapa tunajiandaa kuleta new Production👌🏽😉
" 


Ifuatayo ni post yenyewe. Enjoy na usisite kuacha comment yako kuwapongeza:

0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine