KANISA LENYE ITIKADI KAMA ZA NABII TITO LAANZISHWA AFRIKA YA KUSINI

AFRIKA KUSINI: 

Kanisa la Gabola linaloongozwa na Tsietsi Makiti lawa gumzo kutokana na imani yake kuegemea katika kuhamasisha unywaji wa Pombe.

Kanisa hilo lililoanzishwa miezi 2 iliyopita limeshapata waumini 500 na linawabatiza waumini wapya kwa kutumia pombe ambayo mtu anayebatizwa anaichagua.


Kiongozi wa Kanisa hilo anasema kuwa walevi wanaopingwa katika makanisa mengine lazima wavutwe kwenda kanisani na wapewe nafasi ya kunywa na kumsifu mungu.


SOURCE: Jamiiforums

0 comments:

Copyright © 2018 iCHURCH Magazine